WAZIRI MKUU ATEMBELEA OFISI ZA TUME YA KATIBA MPYA
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA JANA ALITEMBELEA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA KATIBA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA TUME HIO KUHUSU CHANGAMAOTO ZINAZOWAKABILI KATIKA ZOEZI HILO LA KUKUSANYA MAONI. NA MWENYEKITI WA TUME HIO AMEWAAMBIA WAANDISHI WAHABARI KWAMBA JENGO HILO LINAMATATIZO YA UMEME KWAHIYO WANAOMBA SERIKALI IFANYA MATENGENEZO KWANI KAZI ZAO ITABIDI ZIFANYIKA PIA USIKU.
No comments:
Post a Comment