SIKUJUA WALA SIUDHANI MBWA HUYU HANA MENO LAKINI ANAJUA KUBEKWA AKIGUSWA NA AKINUSA MAHALI KUNA MASALHI YAKE. WAHENGA WALISEMA MENO YA MBWA HAYAUMI. KUMBE KWELI TUMESHUHUDIA MGOMO WA MADAKTARI ZAIDI YA SIKU 7 BILA SERIKALI KUTOA KAULI YENYE UZITO KAMA SERIKALI IMARA ZAIDI YA KUJITETEA SWALA HILI LIKO MAHAKAMANI. MUNGU IBARIKI TANZANIA
KUTOKA: MDAU