CLICK HAPA

Tuesday, July 17, 2012

PENZI KITOVU CHA UZEMBE MASHULENI

mteuzi hashi tamaa.A connoisseur never comes to the end of desire.
WAHENGA WALISEMA MTEUZI HAISHI TAMAA NA Mtaka yote hukosa yote.He who desires all,misses all. UKITAKA ELIMU SOMA KWANZA mapenzi baadae kwani mtaka yote hukosa yote. NA 
SUKARI IMEINGIA PILIPILI CHUKUA TAHADHARI
UKIMWI NI HATARI. USIONE SOO KUHUSU KUSUBIRI

Monday, July 16, 2012

MCHUNGAJI GWAJIMA ALIKANA JESHI LA POLISI

MCHUNGAJI GWAJIMA AKANUSHA MTUHUMIWA WA KUMTEKA DR ULIMBOKA KUTUBU KANISANI KWAKE
IKIWA ni siku chache tu baada ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, kutangaza kupatikana na kumshikilia raia wa Kenya, Joshua Gitu Mhindi (31) kutokana na kuhusika kwake na tukio la kumteka na kumpiga Dkt. Steven Ulimboka, baada ya kuhojiwa na kukiri mwenyewe kuwa alihusika wakati akitubu katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwejima wa kanisa hilo lililopo Kawe jijini Dar es Salaam ameibuka na kukuruka futi mia kuhusu tukio hilo.

Mchungaji Gwejima, ametoa ufafanuzi huo jana mbele ya mamia ya waumini wake wakati wa ibada ya Jumapili asubuhi.

Mchungaji Gwejima, alisema kuwa jana na juzi, watu wengi wakuwa wakimpigia simu kutaka ufafanuzi juu ya jambo linalowahusu. Kwamba alipigiwa simu kutoka ndani na nje ya nchi, kwa hiyo na yeye (Gwejima) ameona alifafanue jambo hilo kabla ya ibada.
border: 0" />

Translate