CLICK HAPA

Saturday, May 19, 2012

MTANZANIA WA KWANZA KUPANDA MLIMA EVEREST

      Leo 19-5-2012  asubuhi  mtanzania Wilfred Moshi amefanikiwa kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani. Mlima Everest upo ulaya una urefu wa mita 8845 au (29029futi) ni mkubwa zaidi ya mlima Kilimanjaro wenye urefu mita 5895. 
      Katika historia mtu wa kwanza upanda mlima Evarest walikuwa waingereza wawili Tenzing na Hillary mwaka 1953 na mwanamke wa kwanza upanda mlima everest ni mjapani anaitwa Junko Tabei mwaka 1975. Waliofanikiwa kupanda mlima huo kwa mara ya kwanza bila kutumia vifaa vya oksijeni ni  Reinhod Messer (Italy) na Peter Habeler (Austria) mwaka 1980. Aliyefanikiwa kupanda mlima huo kipindi cha baridi kali ni raia wa Poland Andrzej Zawada. Mwaka 1996 wapandaji 16 walikufa katika mlima huo. Na mtu anayeshikilia rekodi ya kupanda mlima huo mara nyingi kuliko wote ni Apa Sherpa amepanda mara 21, na aliyepanda mlima huo akiwa na umri mkubwa zaidi ni Min Bahadur Sherchan.
  Gharama za kupanda mlima huo ni kubwa sana ni dola 15000 za marekani ikiwa ni gharama za kupanda, Bado gharama za matiba, chakula  na wasaidizi na usafiri zinakaribia 40000/80000 dola za kimarekani inategemea na njia utakayotumia kupandia.
  Pamoja na gharama zote hizo Mtanzania Wilfred Moshi aliweka dhamira ya upanda mlima huo, Alipokua anaondoka alisema nimenunua hii bendera ya Tanzania na gharama zinazofanikisha safari yangu nimechangiwa lakini sio na Watanzania. Watanzania mnachoweza kufanya sasa ni kuniombea kwa Mungu.

       WiILFRED MOSHI AKIWA NA BENDERA YA TANZANIA JUU YA MLIMA EVEREST
        HAPA NDIPO SAFARI YA KUPANDA ILIPOANZIA AKIWA NA TIMU YA WASAIDIZI

KILELE CHA MLIMA EVEREST CHENYE MITA 8845
                               WILFRED MOSHI KOTI JEKUNDU- SI KAZI RAHISI KUPANDA

Friday, May 18, 2012

Dr REGINALD MENGI AMTEUA OFFICER INCHARGE WA IPP KUTOKA MUCCOBS

Dr Reginald Mengi amteua Officer incharge wa IPP kutoka (MUCCOBS)
Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP Dr Reginald Mengi amemteua mwanafunzi wa chuo kikuu ushirika  cha biashara Moshi kuwa officer incharge wa makampuni ya IPP. Dr Reginald Mengi alikua mgeni rasmi katika siku ya Caree Day hapo chuoni baada ya mwanafunzi huyu kufanya presentation kuhusu kozi ya Bachelor of Arts in Community  and Economic Development  inayofundishwa hapo chuoni. Dr Mengi alivutiwana na uwezo wa mwanafunzi huyu katika kijieleza  na kujiamini wakati wa presentention hio . Na kufanya maamuzi ya kumpa ajira hapo kwa hapo officer incharge wa makampuni ya IPP katika masuala ya jamii. Pia DrMengi aliwapa ushauri vijana chuoni hapo wasiwe mafisadi na kupenda maisha mazuri bila kijituma na aliwasii wasimwache Mungu kwani ndio kila kitu katika mafanikio ya maisha. 

           Catherina akyoo mwanachuo  na Dr Mengi wakati akimwambia wewe ni OIC wa IPP
 
    RAIS WA VYUO VIKUU TANZANIA  PAUL MAKONDA AKIWA DR MENGI  WAKIMSIKILIZA     PRINCIPLE WA MUCCOBS KWA MAKINI
                            OIC WA MAKAMPUNI YA IPP KUTOKA MUCCOBS (BA-CED III)
 
                                                  KAMATI YA CAREE DAY 2012 -MUCCOBS

Thursday, May 17, 2012

KOCHA WA ENGLAND ATANGAZA KIKOSI CHA EURO-2012

Kocha wa England Roy Hodgson amekitaja kikosi cha timu England kwa ajili ya kombe la mataifa ya ulaya 2012. EURO CUP 2012. Kocha huyu amedhibitisha kwamba    Steven Gerrad ndie kapteni wa ikosi hicho chenye wachezaji 23. Ferdinand inajulikana kuwa hajaridhishwa na habari hii ingawa,ambayo ni uwezekano wa alama ya mwisho wa kazi yake Uingereza na maana yeye hawezi kuwa na historia na kombe hili. kwasababu  Haku chaguliwa mwaka 2000, amekosa nje kwa njia yakusimamishwa miaka minne baadaye na alikuwa katika kikosi cha England na walishindwa kufuzu kwa Euro 2008 chini ya SteveMcClaren. Ijumaa iliyopita kabla kikosi hiki hakijatangazwa sir Alex fergurson alisema mchezaji mwenye umri zaidi ya miaka 33 hawezi kucheza mechi mbili ndani ya siku nne. Na Roy Hodgson amechukua ushauri huu kwa kupika kikosi kisicho na wazee.  MAKIPA: Joe Hart (Man City), Robert Green (West Ham), John Ruddy (Norwich)

        DEFENDER: Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Man United), John Terry (Chelsea), Joleon Lescott (Man City), Gary Cahill (Chelsea), Ashley Cole (Chelsea), Leighton Baines (Everton)

      MIDFIELDER: Theo Walcott (Arsenal), Stewart Downing (Liverpool), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Steven Gerrard (Liverpool), Gareth Barry (Man City), Frank Lampard (Chelsea), Scott Parker (Tottenham), Ashley Young (Man United), James Milner (Man City)





f

            KOCHA WA ENGLAND ROY HODGSON AKITANGAZA KIOSI CHA EURO-2012
Alex Oxlade-Chamberlain (KULIA ) NA Theo Walcott
                 WALIOKOSEKENA KWENYE KIKOSI KIPYA CROUCH, MICAH, FERDINAND...NK

Sunday, May 13, 2012

KILIMANJARO AWARD 2012 WINNER TOUR - MOSHI

WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO AWARD 2012 WALIFANYA BONGE YA SHOW NDANI YA MJI WA MOSHI . WASHINDI WATUNZO HIZO WALIOKUA MOSHI KWA KUSHUKURU MASHABIKI WAO KWA KUWAPIGIA KURA NA HATIMAYE KUIBUKA WASHINDI WA TUZO HIZO.  ALIUWEPO BARNABA, AT- MAMA NTILIE, WARRIOS FROM EAST OMMY DIMPOZZY, ALIKIBA, ROMA NA MALKIA WA TAARABU HADIJA KOPA. 
       MALKIA WA TAARABU KHADIJA KOPA AKIWAKONGA NYOYO MASHABIKI

                            BENDI YA REGGE YA WARRIOS FROM EAST
MA-PRESENTER MJUKUUWA MVUA FROM EAST AFRICA TV/RADIO
     
                                                    SUMA LEE- HAKUNAGA 
                                                   CHIPUKIZI    OMMY DIMPOZZY
                                      ROMA- KING OF HIP HOP 2012
                                       ALIKIBA- SINGLE BOY 



border: 0" />

Translate