PAMOJA KIFARU (RHINO) NA UKUBWA WAKE WOTE NA UKALI WAKE ANAMWOGOPA MTOTO WA MBWA. HUWEZI AMINI LAKINI NDIO ILIVYO. WAHENGA WALISEMA UKUBWA WA PUA SI WINGI WA MAKAMASI. INAWEZEKANAJE MNYAMA MKUBWA KAMA KIFARU KUMWOGOPA MBWA WALA SI MBWA KAMILI BALI KITOTO CHA MBWA NI JAMBO LA KUSHANGAZA NA KUSTHAJABISHA NILILOSHUHUDIA NI SAWA NA LEO KUKUTA MTU MZIMA NA NDEVU ZAKE ANAOGOBA SISIMIZI. |
No comments:
Post a Comment