CLICK HAPA

Thursday, January 31, 2013

MAISHA YA SASA NA USTAARABU MPYA


Maisha ya sasa ni tofauti na karne ya 20, leo hii ukipata tatizo mbele za watu si rahisi usaidike mpaka kwanza wakumulike na smart phone zao wakiridhika ndio wakuonee huruma wakusaidie. Unaujua huu ndio ustaarabu wa maisha ya kisasa au ubinadamu umetoweka!!! USIMWAMINI BINADAMU MWENZAKO KWAMBA ATAKUSAIDIA KILA WAKATI UNAPOPATA SHIDA KWENYE DUNIA YA LEO. WAHENGA WALISEMA- Mwamini Mungu si mtovu. He who trusts in God lacks nothing.
border: 0" />

Translate