CLICK HAPA

Wednesday, May 8, 2013

KOSA MOJA HALIACHI MKE


Wahenga walisema kosa moja haliachi mke. One fault does not warrant divorce of a wife. Na mchele mmoja mapishi mengi... Rice is all one but they are many ways of cooking it. Mapenzi si kuvuliwa viatu na kuapashiwa chakula moto. Dunia ya sasa imebadilika ipo ki-DIGITAL ZAIDII. kama we bado upo ki-analogy shauri yako. j

Thursday, January 31, 2013

MAISHA YA SASA NA USTAARABU MPYA


Maisha ya sasa ni tofauti na karne ya 20, leo hii ukipata tatizo mbele za watu si rahisi usaidike mpaka kwanza wakumulike na smart phone zao wakiridhika ndio wakuonee huruma wakusaidie. Unaujua huu ndio ustaarabu wa maisha ya kisasa au ubinadamu umetoweka!!! USIMWAMINI BINADAMU MWENZAKO KWAMBA ATAKUSAIDIA KILA WAKATI UNAPOPATA SHIDA KWENYE DUNIA YA LEO. WAHENGA WALISEMA- Mwamini Mungu si mtovu. He who trusts in God lacks nothing.

Sunday, December 16, 2012

WALIMWENGU NDIVYO WALIVYO


UKITAKA KUJUA WALIMWENGU HAWANA DOGO SIKILIZA WASEMAYO. HATA UKIFANYA ZURI WATAKUONA HUFAI. SIKU ZOTE HAWAACHI KUTOA KASORO KWA LILE WALIONALO HATA KAMA NI ZURI.  

Sunday, October 14, 2012

KIZAZI CHA DOTI.COM BALAA

KUNA WAKATI  UTADHANI MWANAO ANAFANYA MAMBO YA MUHIMU KWENYE KOMPYUTA AMBAYO YANAMSAIDIA KATIKA MASOMO YAKE . WAHENGA WALISEMA ELIMU NI BAHARI, HATA FACEBOOK WANATAFUTA ELIMU. NA ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA.

Saturday, October 6, 2012

FACEBOOK CHANZO CHA FOLENI SEHEMU ZA KUTOA HUDUMA

SOMETIME UNAWEZA KWENDE KWENYE OFISI SERIKALI AU BINAFSI UKAKUTA FOLENI KWENDA KUPATA HUDMA UKAZANI LABDA NI TATIZO LA NETWORK AU WATU NI WENGI KUMBE FACEBOOK IMETEKA AKILI YA MTOA HUDUMA

Tuesday, October 2, 2012

BASI LATEKETEA- DAR EXPRESS

               BASI LA DAR EXPRESS LIMETEKETEA NA MOTO NA ABIRIA 65 WANUSURIKA.. LILIKUA LINATOKEA ARUSHA LINAELEA DAR ES SALAAM

Friday, September 21, 2012

KULEA MIMBA SI KAZI, KAZI KULEA MWANA


 WAHENGA WALISEMA  It is not hard to nurse a pregnency,but it is hard to bring up a child.Give a wizard a child to bring up. 

Wednesday, September 12, 2012

UBALOZI WA MAREKANI LIBYA WATEKETEA

Balozi wa Marekani nchini Libya ameuawa baada ya kushambuliwa na watu waliokuwa wamejihami na kuvamia ubalozi wa Marekani Mashariki mwa mji wa Benghazi. Balozi J Christopher Stevens, ni miongoni mwa maafisa wengine wa ubalozi waliouawa kufuatia maandamano kuhusu filamu iliyotolewa nchini humo ikimkejeli Mtume MuhammadIdara ya mambo ya ndani nchini Marekani, imethibitisha tu kifo cha afisaa mmoja wa ubalozi huo ingawa bado haijataja jina lake
Maandamano ya kupinga filamu hiyo pia yalifanyika mjini Cairo dhidi ya ubalozi wa Marekani.Wakati huohuo, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi. Hilary Clinton, amelaani mashambulizi hayo.
Serikali ya Libya imetaja shambulio hilo kama kitendo cha uoga.
Ubalozi huo uliteketezwa na watu waliojihami kwa bunduki kulalamikia filamu moja iliyotengenezewa nchini Marekani ambayo wanasema inamdhihaki Mtume Mohammed. Wanamgambo hao wanaoripotiwa kuwa na ufungamano na kundi la waislamu wenye msimamo mkali walitumia maguruneti ya kurushwa kwa roketi kuvamia ubalozi huo kabla ya kuiteketeza. Maafisa wa Libya wameiambia BBC kwamba hali imetulia kwa sasa.
Machafuko hayo ya Libya yalijiri saa kadhaa baada ya maelfu ya waandamanaji kukusanyika nje ya ubalozi wa Marekani mjini Cairo kuelezea hasira zao kuhusu filamu hiyo kumhusu Mtume Mohammed.
Kwa wakati mmoja waandamanaji hao waliingia ndani ya ubalozi huo na kuichana bendera ya Marekani na kurejesha yao.
                         WAANDAMANAJI WAKICHANA BENDERA YA MAREKANI

   BALOZI WA MAREKANI ALIYEPOTEZA MAISHA KATIKA SHAMBULIZI HILO

Tuesday, September 11, 2012

WAANDISHI WA HABARI KILIMANJARO WAMLILIA DAUDI MWANGOSHI

   WAANDISHI WA HABARI MKOA KILIMANJARO NAO WALIUNGANA NA WAANDISHI WENZAO TANZANIA KUITIKIA WITO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA   WA KUPINGA MAUAJI YALIYOFANYA NA JESHI LAPOLISI KWA KUMUUA MWANDISHI MWENZAO DAUDI MWANGOSI WA CHANNEL TEN ALIYEPIGWA BOMU NA POLISI MKOANI IRINGA


PIA WALIBEBA MABANGO MBALIMBALI YAKIPELEKA UJUMBE KWA JESHI LA POLISI


MAANDAMANO HAYA YAMEFANYIKA KITAIFA MKOANI DAR ES SAALAM NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MHE. NCHIMBI  ALIUDHURIA BILA MWALIKO. NIA YA MHE. NCHIMBI NI  KUPOKEE  MAANDAMANO HAYO LAKINI  ALIFUKUZWA NA WAANDISHI WA HABARI NA KUSEMA WALIKUWA HAWAJAMWALIKA

Saturday, September 8, 2012

OBAMA 2012 FOWARD


President Obama: "As I stand here tonight, I have never been more hopeful about America As I stand here tonight, I have never been more hopeful about America. The election four years ago wasn’t about me. It was about you. My fellow citizens—you were the change, As citizens, we understand that America is not about what can be done for us. It’s about what can be done by us, together.We understand that this democracy is ours. We, the people, recognize that we have responsibilities as well as rights. We don't think government can solve all our problems. But we don't think government is the source of all our problems. No party has a monopoly on wisdom. No democracy works without compromise.Around the world, we’ve strengthened old alliances and forged new coalitions to stop the spread of nuclear weapons. So long as I’m Commander-in-Chief, we will sustain the strongest military the world has ever known, Four years ago, I promised to end the war in Iraq. We did. I promised to refocus on the terrorists who attacked us on 9/11. We have. A new tower rises above the New York skyline, al Qaeda is on the path to defeat, and Osama bin Laden is dead.”—President Obama.
border: 0" />

Translate