Zitto Kabwe alisema lengo la matawi hayo ni kupata fikra na mawazo yatakayoisaidia nchi na sio sehemu ya kufanya majungu ya kudanganya viongozi wakuu wa nchi wanaokwenda nchini humo.“Matawi ya Chadema Washington DC sio kama ya CCM ambayo yakikaa yanawaza rais au waziri mkuu akija wamdanganye nini, wapeleke umbea gani au ‘kuchomana’ Watanzania wenyewe kwa wenyewe…hatutaki hayo; tunataka yawe kisima cha fikra na mawazo ya kuiendeleza nchi,” alisema.
Katika uzinduzi huo, Watanzania kadhaa waishio Marekani walichukua kadi za Chadema.
ZITTO AKIFUNGUA MKUTANO HUO
TIMU YA CHADEMA ILIYOWENDA MAREKANI
WATANZANIA WAISHIO MAREANI WALIOJIUNGA NA CHADEMA
ZITTO NAIBU KATIBU CDM AKIWA NA MWENYEKITI WA CHADEMA WASHINGTON NDUGU KALLEY PANDUKIZI
WANACHAMA WAPYA KUTOKA WASHINGTON
PIA WALITEMBELEA UBALOZI WATANZANIA MAREKANI NAKUPOELEWA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MHE. MWANAIDI SINARE MAAJA
No comments:
Post a Comment