The Hague- Mahakama ya kimataifa imedhidi kuwabana washitakiwa wa makosa ya vurugu na kusababisha umwajikaji wa damu baaada ya uchaguzi mkuu 2007 nchini Kenya William Rutto na Uhuru kenyatta kwa kutupilia mbali hoja yao ya kuhoji uhalali wa mahakama hio kusikiliza kesi yao. Mahakama hio imepinga hoja yao kwa kusema mashitaka wanayokabiliana nayo ya hadhi kusikilizwa kwenye mahakama hio.
UHURU KENYATTA NA WILLIUM RUTO- THE HAGUE
No comments:
Post a Comment