1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA katika chumba cha kuhesabia kura
4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form). Na mshitaki Bi. Hawa kutakiwa kulipa gharama zote za kesi hio.
KUMBE MAHAKAMA ZINATOA HAKI SIKU NYINGINE
ReplyDelete