Baada ya mashabiki wengi wa timu mbalimbali za ulaya kuichukulia timu ya chelsea kama moja ya timu mbovu iliyoingia kwenye robo fainali ya UEFA, hatimaye jana kitendawili kimeweza kuteguliwa kwa kuwanyamazisha wote ambao walikua wanaibeza timu hii. Ikumbukwe kwamba hata timu ya taifa ya Zambia ilikua inabezwa hivyo lakini baadae ikafanya maajabu ambapo imejirudia tena kwa Chelsea. Wanaosema ni bahati, waache kwani haiwezi kuwa bahati kuifunga Barcelona na tena ijirudie kwa Beryen. Ni uzoefu na uwezo wa straiker Drogba pamoja na kiungo Mikel Obi ndo umeipa ubingwa wa UEFA. Goli la Drogba la kusawazisha liliweza kuwanyamazisha mashabiki wa timu pinzani na ilitokana na kuweweseka kwa Torres kuingia kitu ambacho kilipunguza mashambulizi ya kina Robben na Ribbery hatimaye dakika 30 kuongezwa bila timu yeyote kuongeza goli. Penalt zilizopigwa na Lampard, Luiz, A.Cole na Drogba ziliweza kuibua nderemo na vifijo uwanjani na kushangaza wengi waliokua wanaibeza timu ya Chelsea.( THE BLUES)
DIDIER DROGBA AKIWA AMINI KAMA ATASTAAFU KWENYE SOKA KWA HESHIMADROGBA AKIMLIWAZA ROBEN-BARYERN MUNICH
ABROMOVICH MMILIKI KUSHOTO AKISHANGILIA USHINDI
DIDIER DROGBA AKIMTEMBEZA NEUVER KWA PENATI YA USHINDI
Waziri mkuu David cameroon wa uingereza akishangilia huhu mikono juu goli la ushindi alilofunga Drogba kulia kwake Obama na Germany Chancelor Markel. Pamoja Camerron ni shabiki wa Aston Villa lakini hakusita kuonyesha hisia zake Kwa Chelsea.
HAPO PUAAAAAAAAAAAAAA. KAKA MIMI NIMEWAKUBALI MBAYAAAAAAAAAA.
ReplyDeleteTHE BLUESSSSSSSSSSSSS FOREVERRRRRRRRRRRRRRRRR
ReplyDelete