Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza baraza la mawaziri la nchi hii. Katika baraza la mawaziri hilo lina mabadiliko madogo katika wizara ya elimu,afya,kilimo, mambo ya ndani, na uchumi. Huko waliobahatika kuendelea kushika nyadhifa zao za mwanzo ni waziri wa ulinzi na mambo ya nje. Putin amemchagua aliyekua mkuu wa polisi nchini humo kuwa waziri wa mambo ya ndani. Putin amejipanga sawasawa kuendeleza uchumi wa Urusi safari hii amemchagua mpinzani wake katika sera za Uchumi kuwa Waziri wa uchumi. Putina ameshindwa kuhudhuria kikao cha G8 kilichofanyika marekani mwishoni mwa wiki iliyopita na kumtuma waziri mkuu amwakilishe pia anakabiliwa na changamoto za ujenzi vituo vya kuzuia makomboro ulaya ya kati.
RAIS PUTIN AKIKUTANA NA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI JIJINI MOSCOW
No comments:
Post a Comment