KATIBU WA HALAMASHAHURI KUU CCM NAPE AUTEKA MJI WA SONGEA BAADA YA KUPOELEWA KWA UMATI AMBAO HAUJAPATA TOKEA KATIKA MJI SONGEA. NAPE YUPO KIZIARA SONGEA KWA AJILI YA KUFUNGUA JENGO LA MABANDA 119 KWA WAFANYABISHARA NDOGONDOGO NA KUBWA. JENGO HILO LINAMILIKIWA NA CCM LENYE THAMANI YA SHILINGI MILLION 206. PIA HATAFANYA MIKUTANO YA KUIMARISHA CHAMA.
No comments:
Post a Comment